Bodi ya Filamu Tanzania imetangaza leo kumfungulia kuendelea na kazi za sanaa Muigizaji Wema Sepetu. Wema alifungiwa kutojihusisha na kazi za filamu kwa muda usiojulikana kutokana na video iliyosambaa ya kukiuka maadili ya kitanzania.
Post a Comment