Mchezo huo utapigwa Jumamosi, Januari 19 mwaka huu, ambapo Simba inakwenda Congo kusaka japo alama moja katika mchezo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkali hasa ikizangiwa Vita Club ilipoteza mchezo wake wa kwanza dhidi ya Al Ahly
Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema kipaumbele chao ni kushinda michezo yote ya nyumbani na kuhakikisha hawafungwi kwenye michezo ya ugenini.
Ijumaa JS Saoura ambyao ililazwa mabao 3-0 na Simba katika mchezo wa kwanza, itakuwa mwenyeji wa Al Ahly inayoshika nafasi ya pili katika msimamo wa kundi D linaloongozwa na Simba
Post a Comment