Mwambawahabari Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania leo anahudhuria katika Mkutano wa wachimbaji, wafanyabiashara na wadau wa sekta ya madini. Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Mwalimu J.K Nyerere – Dar es salaam.
Post a Comment