Ads

AZAM FC YATINGA FAINAL KOMBE LA MAPINDUZI

Mabigwa watetezi Azam fc imefanikiwa kutinga hatua ya fainali kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga KMKM jumla ya mabao 3 kwa 0 katika mchezo nusu fainali uliopigwa leo uwanja wa Amaan, visiwani Zanzibar.


Mchezo wa pili wa  nusu fainali utakuwa kati ya Simba na Malindi ambapo wataminyana saa 2:15 Usiku katika Uwanja wa Amaan.

No comments