Ads

SIMBA WAWAFATA MBABANE

Mabingwa wa nchi Simba wameondoka mapema leo kwenda Eswatini kuikabili Mbabane Swallows kwenye mchezo wa marudiano wa ligi ya mabingwa barani Afrika.

Picha mbalimbali zikionyesha baadhi ya wachezaji wakisubiri kuanza safari.









No comments