HAPATOSHI LIGI YA MABIGWA AFRIKA, SWALLOWS YAJIPANGA KUMMALIZA MNYAMA SIMBA.
Wakati safari ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikitarajiwa kuanza kutimua vumbi karibuni, imeelezwa kuwa Mbabane Swallows ya Swazilland imepata salaam za wapinzani wao, Simba.
Swallows ambao mziki wao si wa mchezo, wamesema wanaijua Simba vizuri na wana taarifa za namna kikosi chao kilivyoboreka hivi sasa tofauti na misimu kadhaa iliyopita.
Kutokana na ubora wa Simba na upana wa kikosi walichonacho, imeelezwa kuwa kikosi chao kimeanza kujipanga kuhakikisha kuwa wapinzani wao hawawezi kutoka kwa namna yoyote ile.
Simba na Mbabane zitaanza kukutana jijini Dar es Salaam Novemba 27-28 na utarudiwa huko Swaziland kati ya terehe 4-5 mwezi Disemba 2018.
Mechi hiyo itakuwa ya kwanza kwa Simba kucheza katika mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya miaka takribani mitano kupita

Post a Comment