Ads

Uchaguzi Mdogo Jimbo Moja na Kata 79




Mwamba wa habari
TumeyaTaifayaUchaguzi  (NEC) itafanyauchaguzimdogokwenyeJimbo la Buyungu, MkoaniKigomanakwenye Kata 79 za Tanzania Bara, Mwenyekitiwa NEC, Jaji (R), SemistoclesKaijageamesema.
AkizungumzaJijiniDar es Salaam jana, JajiKaijageamesemauchaguzihuoutafanyikatarehe 12 mwenziujao (Agosti)nafomuzauteuziwawagombeazitatolewakuanziatarehe 8 hadi 14 mwenzihuu (Julai).
"UteuziwaWagombeautafanyikatarehe 14 Julai, mwakahuu. KampenizaUchaguzizitafanyikakatiyatarehe 15 Julai, haditarehe 11 Agosti, mwakahuunasikuyauchaguziitakuwanitarehe 12 Agostimwakahuu,” alisema.
JajiKaijageamebainishakwambaTumeimetangazauwepowanafasiwaziyaUbungekwenyeJimbohilo la BuyungubaadayakupokeataarifakutokakwaSpikawa Bunge la JamhuriyaMuungano, Ndugu Job Ndugai.
TumeilipokeabaruakutokakwaSpikawa Bunge la JamhuriyaMuunganowa Tanzania ambayekwakuzingatiakifungu cha 37(3) cha SheriayaTaifayaUchaguzi, Suraya 343, aliitarifuTumeuwepowanafasiwaziyaMbungewaJimbo la BuyungukatikaHalmashauriyaKakonkoMkoaniKigomakufuatiakufarikikwaaliyekuwaMbungewaJimbohiloMheshimiwaKasuku Samson Bilago,” alisema.
Kwa upandewanafasiwazizaUdiwani, MwenyekitihuyoalisemaTumeilipokeataarifakutokakwawazirimwenyedhamanaakiitaarifujuuyauwepowanafasihizonataratibuzauchaguzimdogozikaanzamaramoja.
“TumeimepokeaTaarifakutokakwa Waziri mwenyedhamananaSerikalizaMitaaambayekwakutumiamamlakaaliyopewachiniyaKifungu cha 13(1) cha SheriayaUchaguziyaSerikalizaMitaa, Suraya 292, aliitarifuTumeuwepowanafasiwazizaMadiwanikatika Kata 79 za Tanzania Bara,” alisema.
Akitoawitokwavyamavyasiasa, JajiKaijageamesema “tunapendakuvikumbushaVyamavyaSiasanawadauwotewauchaguzikuzingatiaSheria, Kanuni, MaadiliyaUchaguzi, Taratibu, Miongozonamaelekezoyotewakatiwakipindi cha Uchaguzimdogo”.
JajiKaijagealisemakwambauchaguzihuomdogoutafanyikandaniyaHalmashauri 43zilizopokwenyeMikoa 24ya Tanzania Bara.
Mikoahiyonipamojana, Kigoma, Arusha, Dar es Salaam, Dodoma, Iringa, Kagera, Katavi, Kilimanjaro, Lindi, Manyara, Mara, Mbeya, Mtwara, Morogoro, Mwanza, Njombe, Rukwa, Ruvuma, Shinyanga, Simiyu, Singida, Songwe, TaboranaTanga.
HalmashaurihizonipamojanaMoshi, Ruangwa, Mbulu, Hanang, Babati, Serengeti, Tarime, Kyela, Mtwara, Newala, Kilombero, Kilosa, Kwimba, Makete, Wanging’ombe, Kalambo, Songea, Msalala, Meatu, Singida, Songwe, Tunduma, Tabora, Nzega, UrambonaTanga.
HalmashaurinyinginenipamojanaKaratu, Longido, Arusha, Ngorongoro, Monduli, Meru, Ubungo, Kondoa, Mpwapwa, Chamwino, Iringa, Kyerwa, Misenyi, Muleba, Nsimbo, KasulunaSame.

No comments