Mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa Wahasibu na Waweka hazina yafunguiwa Mkoani Iringa
Afisa usimamizi wa fedha kutoka TAMISEMI Bw.Elisa Rwamiago akifungua mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.Kulia kwake ni Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa na wa kwanza kushoto ni Meneja wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Mkoa wa Iringa Bw.Baraka Mwambene.
Mtaalamu Mshauri wa masuala ya rasiliamali fedha kutoka Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) Bi Hellen Nyagwa akielezea ufanyaji kazi wa Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS3) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.Kulia kwake ni Afisa usimamizi wa fedha kutoka TAMISEMI Bw.Elisa Rwamiago.
Wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa, Tanga,Morogoro na Kilimanjaro wakifuatilia mafunzo ya mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la 10.2 (Epicor 10.2) leo Mkoani Iringa.
Mhasibu kutoka Ofisi ya Rais-TAMISEMI Bw.Juma Shaha akielezea
umuhimu wa matumizi ya mfumo wa Usimamizi wa fedha za Umma toleo la
10.2 (Epicor 10.2) kwa wahasibu na Waweka hazina wa Halmashauri za Iringa,
Tanga,Morogoro na Kilimanjaro leo Mkoani Iringa.
Picha zote na Daudi Manongi,MAELEZO,IRINGA
Post a Comment