Ads

KAJENJELETRADING YAFAFANUA KUHUSU MBOLEA YA TAKA.

 Mwambawahabari
Na John Luhende
Kutokana na hali ya madiliko ya hali ya Tabia ya nchi watanzania wamesha Uriah kurudi kutumia Nishati mbadala zinazotokana na malighafi ya taka ili kutunza mazingira.

Hayo yamebainishwa na Mathew John Mkurugenzi wa kampuni ya KajenjeleTrading  company limited inayoshiriki maonyesho ya mazingira yanayofanyika katika viwanja vya mnazi mmoja jijini Dar es Salaam, ambapo amefafanua kuwa taka zinazokusanywa zina paswa kuchambuliwa na kutenganishwa aina kwa aina.

Amesema watu waishio mjini wanaweza kujipatia kipato kutokana na taka ambapo taka zinazotokana na majani na matunda na Mabaki ya vyakula vinaweza  kutengenezwa mbolea ambayo inafanyika kwa kilimo.

"Ilikupata mbolea nzuri  taka usichanganye na chupa chukua  tu hayo mabaki yanayo weza kuoza utapata mbolea safi inayofanana kwa mimea na box ya  Kaka utapata trey za mayai nakaraytasi nyeuoe utapata  tissue ," alisema.

Kwa upande wake Joseph Nyuza Kapyela kutoka Rungwe mission  Tukuyu Mbeya ambaye ni mteja katika kampuni hiyo aneshuhudia kuwa  huko tukuyu miaka iliyopita alitokea   mzungu Kijijini kwao  akinunua taka kumbe alikuwa na tengeneza mbolea nzuri Sana ambayo alienda kupanda mapaeachichi yalistawi sana.

"Nashukuru Sana kwa hii teknolojia inafanyika Sana mimi nataka kuitumia nikirudi kwetu tukuyu nitanza kazi hii ya Kutengeneza mbolea nimeipenda na nitaitumia kwa kilimo, nawaomba watanzania tuitumie ili kuokoa mazingira yetu," alisema.

No comments