Ads

UZINDUZI WA JENGO LA MAHKAMA YA WATOTO


OTO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa Mahkama ya Watoto iliyopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B Unguja leo (kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu.
OTO 1
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu (kulia) wakati alipotembelea jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja leo baada ya kulizindua rasmi,.
OTO 2
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na  Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu (katikati) wakitoka nje ya Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja baada ya kulizindua rasmi leo.
OTO 3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na  Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu wakiteta jambo wakati wa uzinduzi wa  Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja uliofanyika rasmi leo.
OTO 4Wanafunzi wa Skuli ya  Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja ni miongoni mwa wananchi waliohudhuria katika sherehe za uzinduzi wa Mahkama ya Watoto,ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) akiwa mgeni rasm.
OTO 5
Watoto wa Kijiji cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja wakiwa katika sherehe za uzinduzi wa Mahkama ya Watoto ambapo imezuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
OTO 7
OTO 8Baadhi ya Viongozi na Wananchi waliohudhuria katika sherehe ya uzinduzi wa Mahkama ya Watoto,Kijiji cha Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja,iliyozinduliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani).
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na  Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe,Omar Othman Makungu alipowasili katika sherehe ya  uzinduzi wa  Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja  leo
OTO 9
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe,Haroun Ali Suleiman (katikati)alipowasili katika sherehe ya  uzinduzi wa  Jengo la Mahkama ya Watoto liliopo Mahonda Wilaya ya Kaskazini B,Unguja  leo,(kushoto) Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mhe,Moudline Cyrys Castico,[Picha na Ikulu.] 07/02/2017.

No comments