Ads

New Zealand walivyojitokeza kuwasaidia nyangumi waliokwama ufukweni

Mamia ya watu wamejitokeza kuwaokoa nyangumi karibu 100 waliokwama katika ufukwe wa Farewell Spit nchini New Zealand.
Imedaiwa kuwa nyangumi hao ni kati ya wale 400 ambao walikwama katika ufukwe huo usiku wa Alhamisi hii ambapo kati ya nyangumi hao 300 wamedaiwa kufa katika ufukwe huo. Tazama picha zaidi hapa chini watu wakijaribu kuwaokoa nyangumi hao.














No comments