Ads

Habari picha , Uongozi wa Manispa ya Dodoma watakiwa kukamilisha ujenzi wa madarasa shule ya msingi Chang’ombe.

Mwambawahabari


 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( OR-TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo akimpa maelekezo Diwani wa kata ya Changombe Bw. Bakari Fundikira juu ya ujenzi wa soko jipya la Chang;ombe wakati alipofanya ziara ya kukagua shughuli mbalimbali zinazotekelezwa katika kata hiyo iliyofanyika tarehe 03 Novemba, 2016.




Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( OR-TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo akipokea taarifa za maendeleo ya ujenzi wa soko la Changombe B kutoka kwa Mtendaji wa kata ya Changombe Bi. Asha Juma wakati alipofanya ziara ya kukagua ujenzi wa soko jipya la Changombe B  unaofanywa katika kata ya Changombe mjini Dodoma aliyoifanya leo tarehe 03 Novemba, 2016.




Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( OR-TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo akiwapa mikono wanafunzi wa shule ya msingi Changombe baada ya kuwapa taarifa juu ya ujenzi wa madarasa na ukarabati wa majengo ya shule yao wakati wa ziara aliyoifanya katika shule hiyo leo tarehe 03 Novemba, 2016.




Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI)  Mhe. Selemani Jafo akimpa maelekezo  Afisa Mipango Miji  wa Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma  Bw Clemence Mkusa  juu ya ujenzi wa zahanati ya kata ya Changombe wakati alipotembelea eneo ambalo  zahanati itajengwa wakati wa ziara yake aliyoifanya katika kata ya Changombe iliyofanyika terehe 03 Novemba, 2016.




 Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo akikagua  jengo la ofisi ya Mtendaji wa kata ya Changombe linaloendelea kujengwa wakati wa ziara aliyoifanya katika kata ya Changombe  kukagua shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazofanywa katika kata hiyo.


Naibu Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais  Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ( OR-TAMISEMI) Mhe. Selemani Jafo akiwasalimu wanafunzi wa shule ya msingi Changombe B iliyopo mjini Dodoma  wakati alipofanya  ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazofanywa katika ziara hiyo.
CAPTION PIC 7,


Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa( OR-TAMISEMI) Mhe. Seleman Jafo akipokea taarifa za maendeleo ya ujenzi wa shule ya Msingi Changombe B, iliyopo katika halmashauri ya Manispaa ya Dodoma kutoka kwa Mwalimu Mkuu wa Shule  hiyo Bi.Nelly Kinyaga alipotembelea shuleni hapo wakati alipofanya  ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za kimaendeleo zinazofanywa katika kata hiyo.


No comments