Ads

Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa muenzi Baba wa Taifa kwa kushiriki Bonanza , michezo


Displaying AG1.jpg
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Gerson John Mdemu akikakagua timu za mpira wa miguu za wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam, Mechi zilikuwa ni baina ya timu ya wafanyakazi Mawakili na wasio mwawakili ambapo mechi ilimalizika kwa mawakili kulala kwa mikwaju ya penalti 4  kwa 2.
Displaying AG2.jpg
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Gerson John Mdemu akizungumza na wachezaji wa mpira wa Pete kutoka timu za wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa leo Jijini Dar es Salaam.
Displaying AG3a.jpg

Kikosi cha  timu ya mpira wa miguu ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa kada za kawaida kabla ya kuanza Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa leo Jijin Dar es Salaam.

Displaying AG3b.jpg
Kikosi cha  timu ya mpira wa miguu ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa kada ya Uwakili wakiwa katika pozi kabla ya kuanza Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa leo Jijin Dar es Salaam.

Displaying AG4a.jpg
Menejimenti ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakishindana kukimbia kwa maguni wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa lililofanyika katika viwanja vya Shule Kuu ya Sheria, leo Jijin Dar es Salaam.

Displaying AG4b.jpg
Mshindi wa kukimbia kwa gunia katika timu ya Menejimenti ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bi. Asiatu Msuya akishangilia kwa furaha mara baada ya kumaliza mbio hizo akiwa mshindi wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa leo Jijin Dar es Salaam.
Displaying AG5a.jpg

Timu za wanawake na wanaume za kuvuta kamba za wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakivutana wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa lililofanyika katika viwanja vya Shule Kuu ya Sheria, leo Jijin Dar es Salaam.
Displaying AG5b.jpg
Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakicheza Karata na Draft wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa lililofanyika katika viwanja vya Shule Kuu ya Sheria, leo Jijin Dar es Salaam.


Displaying AG6a.jpg
Displaying AG6b.jpg

Baadhi ya wafanyakazi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakicheza Karata na Draft wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa lililofanyika katika viwanja vya Shule Kuu ya Sheria, leo Jijin Dar es Salaam.

Displaying AG7a.jpg
Wachezaji wa Netboli wakionyeshana ubavu wakati wa mechi baina ya wafanyakazi wakike Mawakili na Wasio mawakili. Hadi mechi inaisha mawakili walikuwa mbele kwa idadi ya magori 5 -1.

Displaying AG7b.jpg
Wachezaji wa mpira wa miguu wanaume wakionyeshana ubavu wakati wa mechi baina ya wafanyakazi mawakili na wasio mawakili wakati wa Bonanza kwa ajili ya kumuenzi Baba wa Taifa leo Jijini Dar es Salaamhadi mechi inamalizika wafanyakazi wa kada za kawaida waliibuka kidedea kwa jumla ya mikwaju ya penati 4 kwa 2.
Picha na: Frank Shija

No comments