Ads

VIJANA WAASWA KUENZI NA KUENDELEZA AMANI NCHINI





Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba wa kwanza kulia akifungua pazia kushiria kuzindua rasmi Kavazi la Mwalimu la Mwalimu Nyerere wakati wa ufunguzi wa Mhadhara wa Tatu wa elimu ya juu katika maendeleo ya Afrika uliofanyika jijini Dar es salaam katikati ni Profesa Issa Shivji.




Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Warioba wa kushoto akifungua kitambaa kuashiria kuzindua rasmi chapisho namba 4 la Kavazi la mwalimu Nyerere wakati wa ufunguzi wa Mhadhara wa Tatu wa elimu ya juu katika maendeleo ya Afrika uliofanyika jijini Dar es salaam kushoto ni Profesa Issa Shivji.






Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Ghalib Bilal wa pili kushoto akifatilia kwa amakini mdahalo wakati wa  ufunguzi wa Mhadhara wa Tatu wa elimu ya juu katika maendeleo ya Afrika uliofanyika jijini Dar es salaam



No comments