RAIS MAGUFULI ATIKISA ARUSHA, AVALIA KIJESHI , AVUTIA MAELFU
Amiri Jeshi Mkuu,Rais Dkt Magufuli akiwasikiliza wananchi kwa makini alipopita
maeneno ya Sanawali kuwasalimia wakati akielekea Wilayani Monduli.
Rais Magufuli akiwa amevalia sare za kijeshi amesimamishwa na kuwasalimu
wananchi katika maeneo ya Sanawali, Tekniko, Ngarenalo, Mbauda, Majengo
Na Kisongo
Amiri Jeshi Mkuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akisalimiana na wananchi wa Arusha Mjini wakati akipita Barabarani
kuelekea Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli ambako pamoja na
mambo mengine kesho tarehe 23 Januari, anatarajiwa kutunuku Kamisheni kwa
Post a Comment