Ads

Lowassa Apata Mapokezi Makabuwa Akiwa Njiani Kuelekea Dodoma

mwambawahabariblog
Aliyekuwa mgombea Urais  katika uchaguzi wa Oktoba mwaka jana kwa tiketi  ya  

UKAWA, Edward Lowassa jana alivyo pata mapokezi makubwa 


Dakawa baada ya kusimama  na  kuwasalimia  wananchi.


Lowassa alikuwa safarini  kuelekea Mkoani Dodoma kwa ajili ya mafunzo  ya  


wabunge wa UKAWA.
mwambawahabariblog

No comments