Ads

GSM YADHAMINI LIGI KUU YA NBC 2021 YATOA BILION 2.1


Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) leo limeingia mkataba na GSM Group @gsmtanzania kuwa mdhamini mwenza wa Ligi Kuu ya NBC wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.1 kwa kipindi cha miaka miwili.

No comments