Ads

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AMPOKEA RAIS WA MALAWI DK. LAZARUS CHAKWERA

 

Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera ,  akipunga mkono wakati akishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumatano Oktoba 07,2020.

     

Picha za matukio mbalimbali ya kuwasili nchini Tanzania kwa Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus Chakwera ambaye atakuwa na ziara ya kitaifa ya siku tatu.

Dkt. Chakwera amepokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania , Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo  Jumatano 07 Oktoba 2020.

No comments