Ads

KUMBILAMOTO NA BONNA KAMOLI ,WAPITA KUFANYA KAMPENI ZA NYUMBA KWA NYUMBA VINGUNGUTI

 

Mgombea kiti cha udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto , aliyeupande wa kulia akiwa na Mgombea ubunge Jimbo la Segerea Bonna Kamoli, aliye upande wa kushoto  aliye vaa nguo nyeusi wakiwa sebuleni kwa Bi Pili Athumani  walipo fika nyumbani kwake mapema leo katika mtaa wa Kombo Vingunguti, wagombea hao walikuwa katika kampeni za nyumba kwa nyumba ( Picha na Mpiga picha wetu)

Mgombea kiti cha udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto,  aliupande katikati  alipo fika nyumbani kwa Bi Amina , mapema leo katika mtaa wa Mtakuja Vingunguti, wagombea huyo alikuwa katika kampeni za nyumba kwa nyumba ( Picha na Mpiga picha wetu)

Mgombea kiti cha udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto aliupande wa kushoto akiwa na Mgombea ubunge Jimbo la Segerea Bonna Kamoli, aliye upande wa kulia aliye vaa nguo nyeusi wakimsikilza katibu mwenezi wa tawi la Kombo walipo fika mtaani hapo  mapema leo , wagombea hao walikuwa katika kampeni za nyumba kwa nyumba ( Picha na Mpiga picha wetu)




No comments