PICHA: Aliyekuwa Katibu Mkuu CHADEMA Dr. Vicent Mashinji Atambulishwa Rasmi CCM

Viongozi waandamizi watano kutoka vyama vya upinzani wametambulishwa leo na kupokelewa rasmi kuwa wana CCM mbele ya Mwenyekiti wa Chama hicho Rais John Pombe Magufuli na wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu kilichofanyika Ofisi Ndogo ya CCM mtaa wa Lumumba jijini Dar es salaam.
Kutoka kushoto ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Vincent Mashinji, aliyekuwa Meya wa jiji la Arusha kupitia CHADEMA Bw. Kalisti Lazaro, aliyekuwa Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Mchungaji David Mwashilindi .
Wengine ni aliyekuwa Mbunge wa Tandahimba kupitia CUF, Bw. Katani Ahmed Katani na aliyekuwa Naibu Meya wa Jiji la Mbeya kupitia tiketi ya CHADEMA Bw. Fanuel Kyanula

According to Stanford Medical, It's indeed the one and ONLY reason this country's women live 10 years longer and weigh an average of 19 kilos lighter than us.
ReplyDelete(And by the way, it really has NOTHING to do with genetics or some secret exercise and EVERYTHING related to "how" they eat.)
P.S, What I said is "HOW", and not "WHAT"...
Click this link to uncover if this easy questionnaire can help you discover your true weight loss possibilities