Dkt Kamishna Mussa Ali Mussa afungua kikao cha kujadili uhalifu unaovuka mipaka.
Mwambawahabari
Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii Dkt, CP
Mussa Ali Mussa (katikati) akiingia katika ukumbi wa Hotel ya Landmark
Kunduchi Jijini Da es Salaam alipokwenda kufungua mkutano wa kujadili na
kupanga mikakati ya kuzuia makosa yanayovuka mipaka. Mkutano huo
umeshirikisha nchi wanachama 16 kutoka shirikisho la Wakuu wa Polisi wa
Nchi za Mashariki mwa Afrika ( EAPCCO). Kulia ni Mkuu wa ofisi za
Interpol Mashariki mwa Afrika, Gedion Kimilu. Kushoto ni Mratibu wa
Mafunzo wa Chuo cha Masomo ya Usalama Afrika kilichopo Afrika ya
Kusini, Willem Els. (PICHA NA JESHI LA POLISI)
Post a Comment