Ads

SBL yazindua kampeni ya 'Usitumie Kilevi na Kuendesha Chombo cha Moto' mkoani Tanga

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoani Tanga, Solomon Mwangamilo, 
akimvalisha reflector mmoja wa madereva wa pikipiki (bodaboda) katika tukio la uzinduzi wa kampeni ya ‘Don’t Drink and Drive’ inayoendeshwa na kampuni ya bia ya Serengeti ikiwa na lengo la kutokomeza ajali
za barabarani zinazosababishwa na madereva walevi.

KAMPUNI ya Bia ya Serengeti (SBL) imezinduakampeni inayolengakutoaelimu kwaumma juu ya unywajiwakistaarabu, mkoani Tanga ikiwani mojayahatua muhimu inayochukuliwa na kampuni hiyo kuzuia ajalinyingi zinazosababishwa na madereva wanaoendesha wakiwawametumia vilevi.

Kampeni hiyo inayobeba ujumbe wa,“UsitumieKilevi na Kuendesha Chombo cha Moto" imezinduliwa jijini Tanga leo katika Stendi ya mabasi nakuwakutanisha pamoja wadau mbalimbali ikiwamo Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani, madereva,abiria,na wadau wengine katika sekta ya usafirishaji.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo, MkuuwaKikosi cha UsalamaBarabarani (RTO) Tanga,Solomon Mwangamilo, amesema kwakulishirikishajeshi la Polisi kampuni ya SBL imeiunga mkono serikali katika kuelimisha ummajuu ya unywaji wakistaarabu na kusisitiza umuhimu wa kutatua tatizo hilo.

RTO amesema baadhi ya watu na haswa madereva hunywa kiasikikubwa cha pombepa sipokujali madhara yanayoweza kusababishwa na kitendohicho na kuonya kuwavitendo vya ainahiyo vinawezakusababisha ajalimbaya barabarani.

“Sotetunafahamukuwa matumizi yavileo yanauhusiano mkubwa na uendeshajimmbovu ambaou nawezakusababisha ajalimbaya za barabarani zenyeatharikubwa kwa jamiizetu.

Atharizake siyotuzinawagusawatumiaji wa vilevi
 bali hatamaishayawengine na kusababisha upotevuwamaisha naulemavu kwa watu ambao wangeweza kuchangia uchumiwanchi,” alisema Mwangamilo .

RTO ameongeza kusema kuwa pamojana kusababishavifo visivyotarajiwa na majeraha, unywajiusiokuwawakistaarabu unamaadharamakubwa kwenyesektaya afya kwa kuwa kiasikikubwa cha fedha kinatumika kwaajili ya huduma, madawanavifaatiba kwa waathirika wa ajali zabarabarani nahivyokuwanimzigo kwaSerikali.

Mkuu huyo wa usalamabarabarani alisema ,sotekwapamojaikiwamo askari, madereva, jamiinawadau wengine inajumuku la kutafuta suluhisho la kumaliza tatizo la kutumia vilevi na kuendesha vyombo vya moto.

"Ninayofuraha kuona SBL pamoja nakwamba biasharayao nikuuzavilevi, wameonawanawajibu wa 
kuhimiza unywajiwakistarabu”alisema Mwangamilo

Aidha Mkurugenziwa Mawasilianowa SBL John Wanyancha alisema kuwa uzinduzi wa kampeni  hiyo,  
ya unywajiwakistaarabu inalengakuielimishajamiikuwawanywaji wanapaswakunywa kwa kiasi na kuhakikisha unywaji wao hauna madhara kwa watu wanaowazunguka.

“SBL imedhamiria kuungana na serikali na wadau wengine kuhakikisha kuwajamiinahaswa madere
va ambaowanakunywa na kuendeshavyombo vya moto wanaelimishwa juu ya madhara ya vitendo hivyo na kutakiwa kubadilishatabia,” alisema Wanyancha.

Kampeni hii ambayo imekuwaikifanyika katika mikoa mbalimbali nchini Tanzania, 
inalenga kuwafikiavijana na watu wengine kwa kuwaeliisha juu ya madhara ya unywaji u
sio kuwa wa kistaarabu huku ikiwataka kubadili tabia kwa manufaa yao na jamii kwa ujumla.

No comments