SPIKA NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA MSTAAFU (MDAU WA MAENDELEO) JIJINI DODOMA.
Mwambawahabari
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza
Mstaafu (Mdau wa Maendeleo), Injinia, Rajabu Rukombe (katikati) wakati
alipomtembela ofisini kwake kwa ajili ya kumgawia vitabu ambavyo Mhe. Spika pia
atawapatia viongozi mbali mbali wa kitaifa, vitabu vyenye maudhui makuu matatau
(3), ikiwemo kumpongeza Mhe. Rais Magufuli kwa kuonyesha jitihada na umuhimu wa
uchumi wa viwanda pia tufanye nini kufikia lengo la viwanda kikao
kilichofanyika leo tarehe 4 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Kulia ni mwanae Injinia, Ndg. Rukombe Rukombe
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto)
akipokea vitabu kutoka kwa Mstaafu (Mdau wa Maendeleo), Injinia, Rajabu Rukombe
(katikati) alipomtembela leo tarehe 4 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni
Jijini Dodoma. Vyenye maudhui makuu matatau (3), ikiwemo kumpongeza Mhe. Rais
Magufuli kwa kuonyesha jitihada na umuhimu wa uchumi wa viwanda pia tufanye
nini kufikia lengo la viwanda, Kulia ni mwanae Injinia, Ndg. Rukombe Rukombe
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa
katika picha ya pamoja na Mstaafu (Mdau wa Maendeleo), Injinia, Rajabu Rukombe (kushoto)
alipomtembelea leo tarehe 4 Februari, 2019 ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Lengo likiwa ni kumgawia vitabu ambavyo Mhe. Spika pia atawapatia viongozi
mbali mbali wa kitaifa, vyenye maudhui makuu matatau (3), ikiwemo kumpongeza
Mhe. Rais Magufuli kwa kuonyesha jitihada na umuhimu wa uchumi wa viwanda pia tufanye nini kufikia lengo la Tanzania ya viwanda. Kulia ni mwanae Injinia, Ndg. Rukombe
Rukombe
(PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
Post a Comment