Ads

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ATEMBELEWA NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DODOMA

Mwambawahabari
Image result for picha ya NAIBU SPIKA DKT. TULIA  NA WADAU WA MAENDELEO JIJINI DODOMA

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na marafiki zake ambao ni wadau wa Maendeleo kutoka Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya tukio lililofanyika leo tarehe 4 februari, 2019 nje ya viwanja vya Bunge Jijini Dodoma. Wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments