Viboko kwa wanafunzi mashuleni 'vyaleta kizaa bungengeni' Bungeni .
Spika wa Bunge, Job Ndugai, amesema bila viboko shuleni mambo hayaendi vizuri. Amesema hata yeye amewahi mtandika mtu viboko.
Spika
amesema hayo leo Alhamisi Januari 31, bungeni jijini Dodoma baada ya
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha, kusema
viboko vitaendelea kutumia shuleni.
Ole Nasha alikuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Katimba.
Katika swali lake Katimba alitaka kujua kama adhabu ya viboko inaongeza kiwango cha ufaulu.
Akijibu
swali hilo, Ole Nasha amesema Serikali itaendelea kusisitiza matumizi
sahihi ya adhabu kwa wanafunzi ili kuleta tija katika ufundishaji na
ujifunzaji.
==>>Tazama hapo chini
==>>Tazama hapo chini
Post a Comment