SPIKA ATEMBELEWA NA WAGENI KUTOKA TAASISI YA KIMATAIFA YA KIDEMOKRASIA (NDI)

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Mkurugenzi wa
Taasisi ya Kimataifa ya Kidemokrasia
(NDI) Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt. Keith Jennings wakati Mkurugenzi
huyo pamoja na baadhi ya viongozi wa Taasisi hiyo walipomtembelea Ofisini kwake leo Jijini
Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na viongozi wa
Taasisi ya Kimataifa ya Kidemokrasia
(NDI), katikati ni Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini mwa Afrika, Dkt.
Keith Jennings na wa mwisho ni Mkurugenzi Mkazi wa Taasisi hiyo Ndg. Sandiy
Quimbaya. Wageni hao walimtembelea Mhe. Spika leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.

Post a Comment