Ads

PICHA MSTAHIKI MEYA WA JIJI ALIPOKUTANA NA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE.



Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam ,Isaya Mwita leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ofisini kwakwe Karimjeee jijini hapa.katika mazungumzo hayo Meya Mwita na Mbowe wamejadili mambo mbalimbali ya maendeleo .

Picha na Christina Mwagala ,Afisa habari Ofisi ya Meya  jiji.

No comments