Ads

MADIWANI ILALA WAAPISHWA.

Madiwa watatu katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam leo wameapisha katika Baraza la Madiwani katika Manispaa hiyo.
Madiwani hayo ni wale walioshinda katika uchaguzi mdogo uliofanyika hivi karibu.
Miongoni mwa madiwani ambao wameapishwa leo ni pamoja na Diwani wa Kata ya Vingunguti kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Omary Kumbilamoto.

No comments