MGOMBEA UDIWANI KATA YA VINGUNGUTI OMARY KUMBILAMOTO, ASEMA AMENUNULIWA NA CCM KWA MAENDELEO.
Na John Luhende
Mgombea Udiwani kata ya Vingunguti Omary Kumbilamoto leo ameendelea mikutano ya kampeni kugombea kuchaguliwa tena kuwa diwani wa kata hiyo.
Akizungumzia ujiowake ndani ya CCM unaohusishwa na baadhi ya wapi nani wake kuwa amenunuliwa amesema yeye amenunuliwa na ukelezaji Ilani ya CCM na usiku na uchapakazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kwa kuwatetea wananchi wanyonge ikiwemo kutekeleza mambo ambayo wapinzaniwalikuwa wakiyadaiikiwemokufufuamashirika ya umma likiwemo Shirika la ndege nchini ATCL.
Kwa upande wake Mgeni rasmi katika Mkutano huo Katibu wa Jumuiya ya wazazi CCM Taifa Erasto Sima, amewataka wananchi wa Vingunguti kukichagua Chama cha Mapinduzi kwa nafasi hiyo ya udiwani ili aweze kusaidiana na mbunge kuwatetea na kuwalea maendeleo yao.
Naye Mbunge wa segerea Mhe. Bonna Karuwa amewaomba wananchi hao kumalizia kura Kumbilamoto iliwasaidiane kwa kuwa hana diwani anayetokanana CCM katika jimbo lake.
"Sina diwani hata mmoja naombeni mnipe huyo Diwani tuwatumikie" alisema.








Post a Comment