CHADEMA Wapata Pigo, Mbunge wa Serengeti Ajiuzulu na Kuhamia CCM

Mwamba wa habari
Usiku
wa kuamkia Leo, Septemba 28 Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA
kimepata pigo baada ya kuondokewa na Mbunge wa Serengeti mkoa wa Mara Marwa Chacha ambaye
amejiuzulu nafasi yake ya Ubunge na kuhama CHADEMA kisha kujiunga na
CCM kwa madai ya kuamua kuunga jitihada za Rais Dr John Pombe Magufuli.
Chacha amewataka wakazi wa Serengeti kumchagua mtu atakayeweza kushirikiana nao pamoja ili kuleta maendeleo kupitia CCM
Post a Comment