Habari Picha: Waziri Mkuu Akimjulia Hali Waziri Kigwangala Na Msanii Majuto

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Mkewe Mary wakimpa pole Waziri wa
Maliasili na Utalii, Hamisi Kigwangalla, ambaye amelazwa katika
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, jijini Dar es salaam Agosti 5, 2018,
akipewa matibabu baada ya kupata ajali.

Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamisi
Kigwangalla, ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili,
jijini Dar es salaam akipatiwa matibabu baada ya kupata ajali Agosti 5,
2018,


Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimjulia hali mama wa Mthamini Mkuu wa Serikali,
Evelyne Mugasha wa kwanza kulia, ambaye amelazwa katika Taasisi ya
Jakaya Kikwete, Muhimbili jijini Dar es salaam Agosti 4, 2018, kutoka
kushoto ni Dk. Tulizo Sanga, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda,
Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Post a Comment