BREAKING NEWS, KIMENUKA YANGA SANGA ATISHIWA MAISHA ABWAGAMANYANGA.
Mwambawahabari
Makamu Mwenyekiti wa Club ya Yanga Clement Sanga , ametangaza kujiuzulu nafasi yake baada ya kupata vitisho vya kuuwa na watu wanaosadikiwa kuwa mashabiki na Wanachama wa Club hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari muda huu Sanga amesema tisho hilo lilianzatangu Ijumaa ya juma lililopita.
"Naipenda familia yangu na ninajukumu la kuilinda kwa hiyo ni bora nijiuzulu ninusuru Maisha yangu" Amesema
Mwambawahabari Tutaendelea kukujuza yanayojiri .......

Post a Comment