Ads

Wadau wachangia vifaa vya michezo Shule ya Gezaulole

 Wadauwamichezo kata ya somangila wameamuakujitolea vifaa
mbalimbali vya michezo kwa wanafunzi wa shule ya msingi Gezaulole
hapo jana katika kuazimisha siku ya wafanyakazi nchini.

Wadau hao walikabidhi vifaa hivyo mbele ya mwenyekiti wa
bodi ya shule ndugu Peter M.Maganga ambaye aliongozana na
mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mbwamaji ndugu Yohana
Luhemeja pamojana baadhi ya wajumbe wa bodi hiyo akiwamo mwa
limu mkuu wa shule hiyo Bi Mariam Kinande pamojana
 wananchi waishio jilani nashu lehiyo.

za refarii, kwa msaada huu japo kwenu mnauona kidogo ila
kwangumimi nikiku bwasana”.Maganga

Amesema amewashukuru  wadau hao kwa ushirikiano waliounyesha katika kutatua
moja ya changamoto zilizokua zinaikabili shule hiyo licha ya kufanya
vizuri katika michezo kiwilaya hadi kupelekea timu ya wasichana
ya netiboli kwa wilaya ya kuundwa na wachezaji kutoka
shule hiyo pekee.

Hata hi vyo mwenyekiti huyo aliomba wadau hao kusaidia
kutatua changamoto zingine zinazoikabili shule hiyo hasa
Ukosefu wa umeme kwanyumba za walimu na madarasa .

"Tunawaomba wadau pia msaidie

cha shilingi lakitatu.

Shule ya msingi Gezaulole ni miongoni mwa shule kongwe katika kata
ya somangila iliyopo katika wilaya ya kigamboni na ni miongoni mwa
shule chache zilizo na madhari ya kuvutia ambapo imepakana na
bahari ya hindi hivyo kutoa fursa ya kupata hewasafi na salama
kwa wanafunzi.

No comments