TAZAMA MATUKIO KATIKA PICHA UZINDUZI WA KUTOA MIKOPO KWA VIJANA NA WANAWAKE, ZAIDI YA BILIONI 1.9 ZITATOLEWA.
Katikati ni mgeni rasmi Naibu Waziri wa Nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa TAMISEMI Joseph Kakunda aliye upande wa kulia ni Meya wa Manispaa ya Ubungo Boniface Jacob, na upande wa kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kisare Makori.
Mhe Kakunda , Ameishukuru Manispaa ya Ubungo kwa kutekeleza vyema Ilani ya CCM kwa kutenga fedha kwa ajili ya makundi ya Wanawake, vijana na walemavu, na kumuagiza Katibu Mkuu wa TAMISEMI kuiandikia Barua ya pongezi Manispaa hiyo kwa kutekeleza agizo la serikali.
Aidha ameitaka Manispaa hiyo kutenga maeneo kwa ajili ya wafanyabiashara wa dogo ili kuondoa usumbufu wanao upata katika maeneo ya barabara ambapo mara nyingi huondolewa.
Amesema kama ilivyofanya Manispaa ya Ubungo Manispaa nyingine zifanya hivyo na utendaji wao utapimwa katika utoaji wa fedha za mikopo kwa makundi hayo, na ameongeza kuwa muda si mrefu serikali itapitisha sheria kuzilazimisha Manispaa zote nchini kutenga fedha za mikopo kwa ki walemavu.
Viongozi wa CCM Wilaya ya Ubungo wakiongozwa na Katibu wao Lucas Magonja wakifurahia wimbo wa kulipongeza Manispaa ya Ubungo ulioimbwa na kikundi cha kwaya cha Wilaya hiyo.
Baadhi ya wajasiriamalimali waliofika katika maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Barua Mburahati ambapo wajasiriamali vijana watanzania kupewa mikopo ya Biashara hao hapo chini.
Baadhi ya wajasiriamalimali waliofika katika maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Barua Mburahati ambapo wajasiriamali vijana watanzania kupewa mikopo ya Biashara
Baadhi ya wajasiriamalimali waliofika katika maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Barua Mburahati ambapo wajasiriamali vijana wanawake na walemavu, watanzania kupewa mikopo ya Biashara( picha na Mwambawahabari)
Baadhi ya wajasiriamalimali waliofika katika maonyesho ya Biashara katika uwanja wa Barafu Mburahati ambapo wajasiriamali vijana watanzania kupewa mikopo ya Biashara

Post a Comment