CCM KIMARA WAHIFADHI MAZINGIRA ,WATAKA MADAKTARI WAONGEZWE ZAHANATI YA MAVURUNZA.
NaJohn Luhende
Mwamba wa habari
Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Ubungo katika kuelekea siku ya kuadhimisha wiki ya wazazi wameendelea kufanya kazi za kujitolea katika mjamii ikiwemo kupanda miti na kufanya usafi katika taasisi za umma ikiwmo kutoa misaada ya kibina damu.
Akizungumza katika zoezi la kupanda miti lililofanyika katika zahanati ya Mavurunza kata ya Kimara, mwenyekiti wa wa Elimu ,Mazingira ,Afya na Uhamasishaji wa jumuiya hiyo Justne Sangu, amesema Zahanati ya Mavurunza inahudumia watu wengi na kuiomba serikali kuongeza madactari katika zahati hiyo ili pia huduma wawezekutoa huma saa 24 .
‘’ Tumeona zahati hii inahudumia watu takribani 150 kwa siku na inaupungufu wa watumishi kwa sasa wana madactari wawili tu tunaimba serika itoe nafasi za ajira hawa wana fanya kazi zaidi ya uwezo wao’’ .Alisema Sangu
Kwaupande wake Mganga mfawidhi wa Zahanati hiyo ame Doroty Mushi ampongeza Moyo waliounyesha wana CCM na wana wanajumuiya kwa kupanda miti katka eneo hilo na huku akiishukuru serikali kwa kuongeza uaptikanaji wa Dawakatika Zahanati hiyo.
Aidha ameiomba serikali kutatua changamoto ya barabara kwa kuwa inamashimo makubwa jambo ambaloi linasababisha usumbufu wa wananchi hasa wagonjwa wanaenda kutibiwa katika zahanati hiyo.
Aidha ameiomba serikali kutatua changamoto ya
barabara kwa kuwa inamashimo makubwa jambo ambaloi linasababisha usumbufu wa
wananchi hasa wagonjwa wanaenda kutibiwa
katika zahanati hiyo.
Naye mjumbe wa kamati ya utekelezaji Zubeda Kutengeza amemshukuru mganga huyo kwa
kuwapokea wanajumuiya hiyo na kufanikisha kazi yao ya kufanya usafi na na kupanda miti .
Post a Comment