Ads

KIINGILIO CHA SIMBA VS YANGA CHATAJWA UWANJA WA UHURU OKTOBA 28,2017



Mwambawahabari

Kama unataka kuwaona watani wa jadi, Simba na Yanga  wakivaana Oktoba 28 kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, unalazimika kuwa na Sh 10,000 au mara mbili ya hiyo, yaani Sh 20,000.
 
Kiingilio cha mzunguko ni Sh 10,000 wakati jukwaa kuu lenye pande mbili za Yanga na Simba litakuwa Sh 20,000.
 
Inaonekana hakutakuwa na viingilio vya chini kama Sh 5,000 kwa kuwa uwanja ni mdogo

No comments