Ads

USHIRIKI WA OFISI YA WAZIRI MKUU KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI- WILAYANI KONGWA DODOMA.

Mwambawahabari

Displaying P1.jpg


Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika maandamano ya kuiadhimisha Siku ya Wanawake yaliyofanyika Wilayani Kongwa Mkoa wa Dodoma Machi 8, 2017

Displaying P2.jpg

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiburudika wakati wa kuisherekea Siku ya Wanawake katika Viwanja vya mikutano Wilayani Kongwa Dodoma Machi 8, 2017.


Displaying P3.jpg

Displaying P4.jpg

Mkuu wa Wilaya ya Kongwa Mhe.Bw Deogratius J. Ndejembi akiwasilisha hotuba yake wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake iliyofanyika wilayani hapo Machi 8, 2017

Displaying P5.jpg

Baadhi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakimsikiliza mgeni Rasmi(hayupo pichani) wakati wa sherehe za kuiadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2017 iliyofanyika kimkoa katika  Wilaya ya Kongwa Dodoma.

Displaying P5.jpg

Displaying P6.jpg

Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa sherehe ya Siku ya Wanawake iliyoadhi,ishwa kimkoa Wilayani Kongwa Dodoma.
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU - DODOMA)

No comments