RC MAKONDA ATEMBELEA SOKO LA KARIAKOO AAGIZA UONGOZI WA SOKO KUITISHA MKUTANO WA WANAHISA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAFANYABIASHARA.
Na John Luhende
mwambawahabari
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam mh Paul Makonda ameugiza uongozi wa Shirika la Masoko Kariakoo kuitisha mkutano wa wanahisa Baraka iwezekanavyo ili kusikiliza malalamiko ya wafanyabiashara wa soko hilo.

Mheshimiwa Makonda ameyasemahayo Leo katika ziara yake ya kutembelea solo la Kariakoo na kusikiliza kero za wafanyabiashara wanaofanya biashara sokoni hapo ambapo wafanyabiashara wamemweleza kuwa wamekuwa wakitozwa ushuru mkubwa kwa siku wengine elfu 10 kwa siku na wengine 7500 navitambulisho vya shilingi 15,000 kwa kila mfanyabiashara.
Wafanyabiashara hahao wamemwomba Mkuu wa Mkoa kutazama upya mpango huo ili nao waweze kufaidi matunda ya uhuru wa nchi yao.
Kwa habari zaidi ungananasi tutakujuza zaidi.
Kwa habari zaidi ungananasi tutakujuza zaidi.
Post a Comment