Ads

RAIS WA UFARANSA AFUNGUA MKUTANO WA 4 WA OGP,MKURUGENZI TWAWEZA AELEZA MUELEKEO WA OGP

mwambawahabari
Displaying 1.jpg
Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande akihutubia washiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 4 wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP) katika ukumbi wa Salle Pleyel, ambapo alisisitiza umuhimu wa wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo na kuwataka washiriki kuja na matokeo ya hatua zilizochukuliwa katika kushirikisha wananchi kwenye masuala ya maendeleo.
Displaying 2.jpg
Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande

Displaying 3.jpg
Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapya wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP)

Displaying 4.jpg
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw.Aidan Eyakuze (KULIA) akishiriki katika majadiliano wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 4 wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP) katika ukumbi wa Salle Pleyel,ambapo walijadili masuala mbalimbali ya Serikali kwa uwazi nakueleza mtazamo wake juu muelekeo wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP).
Displaying 5.jpg
washiriki wamjadala uliohusu masuala ya Serikali kwa uwazi nakueleza mtazamo wake juu muelekeo wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP) wakisalimiana mara baada ya kukamilika kwa majadiliano hayo.

PICHA NA HASSAN SILAYO-(MAELEZO) PARIS,UFARANSA

No comments