Ads

Habari picha : Tanzania Kufungua Ofisi za Ubalozi Nchini Jamhuri ya Korea

mwambawahabari
Displaying PIX1.jpg
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Agustine Mahiga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu msaada wa dola za Kimarekani 50,000/= sawa na shilingi milioni 108 za Kitanzania zilizotolewa na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Bw. Song, Geum-young leo jijini Dar es Salaam. Msaada huo umetalewa kwa ajili ya kusaidia kurejesha miundombinu na makazi yaliyoathiriwa na Tetemeko la ardhi Mkoani Kagera mnamo tarehe 9 septemba 2016.

Displaying PIX2.jpg
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Agustine Mahiga (kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya dola za Kimarekani 50,000/= sawa na shilingi milioni 108 za Kitanzania zilizotolewa na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Bw. Song, Geum-young leo jijini Dar es Salaam. Msaada huo umetalewa kwa ajili ya kusaidia kurejesha miundombinu na makazi yaliyoathiriwa na Tetemeko la ardhi Mkoani Kagera mnamo tarehe 9 septemba 2016.



Displaying PIX3.jpg
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Agustine Mahiga (kushoto) akiagana na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Bw. Song, Geum-young mara baada ya kupokea msaada wa Dola za Kimarekani 50,000 leo jijini Dar es Salaam. Msaada huo umetalewa kwa ajili ya kusaidia kurejesha miundombinu na makazi yaliyoathiriwa na Tetemeko la ardhi Mkoani Kagera mnamo tarehe 9 septemba 2016.

No comments