Ads

WATU WAWILI WANAO SAKIWA KUWA NI MAJAMBAZI WAME KAMATWA KWA KUDAIWA KUHUSIKA KATIKA TUKIO LA UJAMBAZI KARIAKOO

ja01
 Watuhumiwa wanaodaiwa kuhusika na  Tukio la Ujambazi, wakiwa chini ya ulinzi wa Polisi mara baada ya kukamatwa mchan a leo katika eneo la Kariakoo, Jijini Dar es salaam.
ja2
Sehemu ya Umati wa watu wakishuhudia tukio la kukamatwa kwa Watuhumiwa hao wanaodaiwa kuhusika na  tukio la Ujambazi.

No comments