Ads

Image result for picha za mbowe

Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wametangaza kususia kuchangia hotuba ya Waziri Mkuu ndani ya bunge hadi pale Serikali itakaporekebisha vipengele vinavyobana uhuru wa bunge kama vile kuruhusu urushwaji wa matangazo ya moja kwa moja na vyombo vingine kurekodi bila vizuizi.

Unaweza kumsikiliza hapo chini Freeman Mbowe alipozungumza na Waandishi wa Habari baada ya kufikia uamuzi wa kutoendelea na vikao vya bunge vinavyo endelea mjini Dodoma.

No comments