RAIS MAGUFULI AFUNGUA RASMI MRADI WA UJENZI WA BARABARA ZA JUU (FLY OVER) ENEO LA TAZARA
mwambawahabariblog
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania akizungumza na watanzania kabla ya kufungua na kuweka jiwe
la msingi kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa barabara ya juu Tazara Jijini Dar es
Salaam.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifungua jiwe la msingi kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa barabara ya juu Tazara Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akifungua ramani ya mradi wa barabara ya juu eneo la Tazara kuashiria ufunguzi rasmi na kuanza kwa ujenzi wa mradi huo Tazara Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akipokea maelekezo kuhusu mradi wa barabara za juu eneo la Tazara kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wakala wa barabara (TANROADS) Mhandisi Patrick Mfugale katika ufunguzi rasmi wa mradi huo Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi na kuanza kwa ujenzi wa mradi wa barabara ya juu Tazara Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbaliwa kitaifa na kimataifa wakati wa ufunguzi rasmi na kuanz akwa ujenzi wa mradi wa barabara ya juu Tazara Jijini Dar es Salaam Picha zote na Raymond Mushumbusi
Post a Comment