Mtangazaji
wa kipindi cha wanawake live kulia Bi. Joyce Kiria kushoto akionyesha kitambilisho chake cha uchangiaji wa hiari kutoka kwa Meneja
wa Mpango wa Uchangiaji wa Hiari wa mfuko wa PSPF Bi. Mwanjaa Sembe kushoto wakati
wa mafunzo kwa wajasiriamali yaliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
|
Post a Comment