WATUMISHI TRA WANOLEWA
Na John Luhende
mwambawahabariblogspot.com
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA lmeaandaa semina ya kuwajengea uwezo watumshi wake katika ukusanyaji wa mapato
katika kipindi hiki cha uchumi wa
Mafuta na Ges ambapo wtumishi
toka sehemu mbalimbali na nchini
wameshiriki semina hiyo
Semina hiyo
imedhaminiwa na serikali ya Japan na
wakufunzi wametoka sehemu mbali mbali Duniani na wenyeji Tanzania ambaoni
wakufunzi wa chuo cha kodi cha TRA (ITA) chu kikuu cha Dar es salaam.
Akizungumzia
mafunzo hayo kamishina msadizi upelelezi wa mamlaka hiyo Eva Mmas alimesema
mafunzo hayo yamekuja wakati mwafaka ambapo Tanzania imeanza kuchimba lasili mali hiyo adimu duniani,
na ili kutofautisha namna ya kukusanya mapato ya ya serikali kwani secta hii ni yapekee hivyo
nivema kuwajengea uwezo watumishi hao.
Naye mkufunzi wa chuo cha kodi Emmanuel Masalu, alimesema mafunzo hayo ni muhimu na mafunzo
hayo yamelenga pia kuwa na wataalam wamapato watakao fanya kazi kwa huhakika na
uaminifu na kujenga mazigira ya uwajibikaji katika mamaka hiyo na kungeza ukusanyaji
wa mapato serikalini.
Post a Comment