Ads

AJALI MBAYA , Ghoroga laangukia nyumba Goba Tazama tukio zima


Watu kadhaa ambao idadi yao bado haijajulikana wanahofiwa kupoteza maisha baada ya ghorofa ambayo ujenzi wake unaendelea kuangukia nyumba katika eneo la Goba kwa Awadhi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa mmoja ya viongozi wa mtaa wa Goba kwa Awadhi Bwana Adam Selemani mpaka muda huu zoezi la kuokoa watu linaendelea katika eneo hilo.

No comments