RAIS SAMIA AWEKA WAZI NAMNA KUKUA KWA UCHUMI ULIVYO ONGEZA UMRI WA KUISHI
Rais Samia Suluhu Hassan amesema miongoni mwa mafanikio makubwa ambayo Tanzania imeyapata wakati huu ambapo inatimiza miaka 60 ya Uhuru wake ni pamoja na kupungua kwa kiwango cha umasikini ambako kumesababisha hali ya maisha kuwa bora na kufanya hata wastani wa miaka ya kuishi kuongezeka kutoka miaka 50 hadi miaka 66.
"Tumeweza kuongeza uhai wa Mtu kutoka Miaka 50 tulikuwa tukiambiwa miaka ile hadi miaka 66 sasa kwahiyo sisi ambao tupo kwenye sitini sitini bado tuna tamaa ya kusonga mbele na pengine kwa uwezo wa Mungu tukapata mingi zaidi kwasababu hali ya maisha inazidi kuwa bora zaidi kila kukicha"——— Rais Samia Suluhu
Rais Samia ametoa kauli hiyo leo wakati akishiriki katika Ufunguzi wa Mkutano wa 20 wa Taasisi za Fedha nchini uliondaliwa na Benki Kuu ta Tanzania (BOT) Ukumbi wa Jakaya Kikwete leo November 25,2021.

Post a Comment