• UCHUMI
  • KITAIFA
  • AFYA
  • CONTACT US

MWAMBA WA HABARI

Ads

  • Home
    • KITAIFA
    • AFYA
    • UCHUMI
    • CONTACT US
    Home / HABARI ZA KITAIFA / BREAKING NEWS JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM, LABAINI MBINU CHAFU ZA KUHATARISHA AMANI

    BREAKING NEWS JESHI LA POLISI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM, LABAINI MBINU CHAFU ZA KUHATARISHA AMANI

    10/30/2020 05:39:00 pm HABARI ZA KITAIFA

     


    Na John Luhende
    KAMANDA wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam  ACP Lazzaro Mambosasa, amesema jeshi hilo limebaini uwepo wa vikundi vya watu wanaofanya mikutano ya siri ili kuhamasisha vurugu na maandamano ya kupinga matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).

    Amesema jeshi hilo limejipanga vyema kuhakikisha halitoi nafasi ya kufanyika kwa vurugu ili kuheshimisha Demokrasia nchini na maamuzi ya wananchi.

    Amevitahadharisha vikundi hivyo viache mara moja mipango hiyo kwani vitakutana na adha kubwa ya Vyombo vya Dola.

    Kadhalika Mambosasa, ameongeza kwa kuwataka wananchi watoe taarifa kwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pindi wanapobaini ama kuhisi uwepo wa watu wanaohamasisha vurugu ili kudhibiti hilo mapema.
    ReplyForward

    Related Posts

    HABARI ZA KITAIFA

    Post a Comment

    No comments

    Subscribe to: Post Comments ( Atom )

    TANGAZO

    TANGAZO

    ALMUNTAZIR WAPONGEZWA

    ALMUNTAZIR WAPONGEZWA

    Categories

    • Afy
    • AFYA
    • BIASHARA
    • Bunge
    • BUNGENI
    • BURUDANI NA MICHEZO
    • Habari
    • Habari za kitaifa
    • HABARI KIMATAIFA
    • Habari ya kitaifa
    • HABARI ZA KITAIF
    • HABARI ZA KITAIFA
    • HABARI ZA KITAIFA.
    • Habari za Mahakamani
    • Itaofa
    • KILIMO
    • KIMATAIFA.
    • Kita
    • Kitafa
    • Kitaia
    • kitaifa
    • Kitaifa.
    • Kiuchumi
    • Litigating
    • Magazeti ya leo.
    • MAKALA
    • Mazingira
    • Michezo
    • Michezo NA burudan
    • Michezo NA burudani
    • MICHEZO.
    • Mtaifa
    • MwambaTv Live
    • SIASA
    • UCHUMI
    • WANAWAKE
    • WANAWAKE.
    • WATOTO

    ZILIZOSOMWA ZAIDI

    • AZIMIO LA MUSOMA NA JULIUS NYERERE
      AZIMIO LA MUSOMA NA JULIUS NYERERE
      Judith Mhina Mwambawahabari Ni miaka 17 sasa tangu Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alipoaga dunia. Katika kuadhimish...
    • ELIMU YA MPIGA KURA YAWAVUTIA VIJANA WENGI MKOANI SIMIYU.
      ELIMU YA MPIGA KURA YAWAVUTIA VIJANA WENGI MKOANI SIMIYU.
        Baadhi ya vijana wakijibu maswali mbalimbali yaliyokuwa yakiulizwa na Maofisa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi –NEC (Kulia) waliokuwa wakit...
    • JUHUDI ZA MWALIMU NYERERE KATIKA KUKUZA NA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII NCHINI.
      Na Beatrice Lymo mwambawahabari “Uhai wa wanyamapori ni jambo linalotuhusu sisi sote katika Afrika, viumbe hai wa porini wakiwa kat...
    • MDEE NA WENZAKE WAKO NDANI YA BUNGE KIHALALI
      MDEE NA WENZAKE WAKO NDANI YA BUNGE KIHALALI
        Na Janeth Raphael - Dodoma Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema wabunge 19 wa Viti Maalum wa Chadema waliopo bungeni wapo kihalali. Hat...
    • UWANJA WA ARSENAL UMEKUWA SEHEMU YA CHANZO CHA KUVUNJWA STAMFORD BRIDGE
      UWANJA WA ARSENAL UMEKUWA SEHEMU YA CHANZO CHA KUVUNJWA STAMFORD BRIDGE
      mwambawahabari Na Saleh Ally, aliyekuwa London CHELSEA wanakubali kuwa uwanja wao sasa unatakiwa kufanyiwa mabadiliko, w...
    Created By Sora Templates | Distributed By Gooyaabi Templates