MWINYI ZAHERA AJIUNGA NA GWAMBINA FC YA MISUNGWI ILIYOPANDA LIGI KUU TANZANIA BARA

Aliye kocha wa Yanga SC, Mwinyi Zahera kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) amejiunga na klabu ya Gwambina FC ya Misungwi mkoani Mwanza iliyopanda Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu
Post a Comment