MAJALIWA AVUTIWA NA UBUNIFU WA MKUU WA WILAYA YA HANDENI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefurahishwa na ubunifu wa Mkuu wa wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe wa kupanda mhogo kwenye eneo lote linalozunguka makazi yake badala ya kupanda maua na nyasi. Alisema ubunifu huo licha ya kumpatia mboga za majani na mhogo wa kula, ziada atauza na kujipatia fedha. Pichani, Mheshimiwa Majaliwa akitazama mhogo huo, Machi 3, 2020. Wa pili Kulia ni Mkuu wa mkoa wa Tanga, Martine Shigela na kulia ni Mkuu huyo wa wilaya. (Picha na Ofisi ya Waziri ya Waziri Mkuu)
As reported by Stanford Medical, It is really the one and ONLY reason this country's women get to live 10 years more and weigh an average of 19 kilos lighter than us.
ReplyDelete(And realistically, it has totally NOTHING to do with genetics or some secret exercise and EVERYTHING to do with "how" they are eating.)
BTW, I said "HOW", and not "WHAT"...
Click on this link to reveal if this easy test can help you decipher your true weight loss potential